News Details Home / News Details

Mkutano wa walimu
Our history . 9th Apr, 2026

Mkutano wa walimu

Mkutano wa postmortem yaani kujadili kuhusu masomo
na mitihani iliofanyika mwaka uliopita wa 
masomo 1446/1447 na kuweza kujadili
 mpangilio mpya wa masomo wa mwaka 1447/1448
kwa madaris zenye ushirikiano  pamoja na usimamizi 
kupitia ofisi ya Mufattishust Ali Al-haidary (Al-Islam Society)
chini ya uangalizi na udhamini wa  
The bin Ali Al-amoudy Trust

0 Comments

Leave A Comment

Sing in to post your comment or singup if you don’t have any account.